Zaidi ya watu 90 wafariki katika ajlai ya boti Msumbiji

Your browser doesn’t support HTML5

Zaidi ya watu 90 wamefariki wakiwemo watoto na wengine 26 hawajulikani walipo baada ya boti kuzama kaskazini mwa ufuko wa Msumbiji.

Waziri wa Fedha wa Marekani anakamilisha ziara yake China akiwa na ujumbe wenye nguvu.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari