Zaidi ya watu 50 wauawa katika maandamano Ethiopia

Your browser doesn’t support HTML5

Zaidi ya watu 50 wauawa nchini Ethiopia katika milipuko mitatu iliyotokea wakati wakiandamana kulaani kitendo cha kuuawa kwa mwanamuziki maarufu nchini humo.