Zaidi ya watoto 18,000 waliowasili Marekani wako chini ya ulinzi

Your browser doesn’t support HTML5

Zaidi ya watoto18,000 ambao hawakufuatana na watu wazima kuja Marekani wako chini ya ulinzi tangu walivyovuka mpaka.
- Familia ya watu waliouawa katika mashambulizi ya Cabo Delgado, Msumbiji zinasubiri kujua hatma ya ndugu zao.

- Hoja za ufunguzi wa kesi ya afisa wa polisi wa zamani mzungu aliyefunguliwa mashtaka kumuua George Floyd, Mmarekani mweusi zaanza leo