Zaidi ya wakimbizi wa Sudan 55000 wakimbiliia nchini Chad

Your browser doesn’t support HTML5

Mashirika ya kutoa misaada yanakabiliwa na matatizo makubwa katika kuwasaidia wakimbizi 25,000 ambao waliwasili Chad kutoka Sudan wiki iliyopita.

Ungana na mwandishi wetu akieleza jinsi Shirika la Umoja wa Mataifa linalowashughulikia wakimbizi linavyofanya juhudi ya kukusanya msaada wa fedha kwa ajili ya kuwahudumia wakimbizi hao.