Zaidi ya viongozi 100 kuhudhuria mkutano wa Baraza Kuu la UN

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa Umoja wa Mataifa wanatarajia zaidi ya viongozi 100 kuhudhuria mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, wakati Marekani ikiwashauri wengine kushiriki kupitia mtandao kuepusha maambukizi ya COVID-19.