Zaidi ya makundi 50 yenye silaha kutoka DRC yamekubali kusitisha mapigano

Your browser doesn’t support HTML5

Zaidi ya makundi 50 yenye silaha yamekubali kusitisha mapigano kwa masharti ya kuwa makundi ya kigeni yenye silaha yaondoke nchini mwao.

-Wawakilishi waliobakia wa Afrika kwenye Kombe la Dunia wako uwanjani hivi sasa wakimenyana na uhispania kuwania kwenda kwenye nane bora.