Xi asisitiza umuhimu wa ushirikiano na Marekani alipokutana na Blinken

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa China Xi Jinping asema China na Marekani zinastahili kuwa washirika baada ya kuwa wapinzani na kutoa wito wa ushirikiano baada ya ushindani wenye uhasama.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari