WTO yaeleza matumaini kufikia makubaliano katika uvuvi

Your browser doesn’t support HTML5

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Biashara Duniani, WTO, amewaambia mawaziri wa biashara ana matumaini ya kufikia makubaliano juu ya biashara ya uvuvi duniani.