WMO-UN yasema uchafuzi wa hali ya hewa umepungua sana

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Umoja wa Mataifa la kutabiri hali ya hewa laeleza kuwa kusitishwa shughuli mbalimbali za uzalishaji, usafiri na kadhalika kutokana na janga la corona umesaidia kupunguza kwa kiwango kikubwa uchafuzi wa hali ya hewa duniani.