Wizkid azindua tena album yake maarufu ya Essence

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanamuziki mashuhuri wa Nigeria Wizkid azindua tena album yake maarufu ya Essence aliyoifanya mwaka 2020.
Ligi ya Premium yaanza kwa kiulaini hasa kwa upande wa mchezaji wa Misri Salah akiendelea kuipa ushindi timu yake.