Wizi wa vyakula unaendelea katika maduka eneo la Jos, Nigeria

Your browser doesn’t support HTML5

Hata baada ya amri ya serikali ya kutotoka nje, watu wamevamia na kuiba maduka ya serikali ya chakula huko Jos, Nigeria.