Wizara ya Ulinzi ya Marekani yathibitsha kutokea mlipuko Kabul

Your browser doesn’t support HTML5

Wizara ya Ulinzi ya Marekani imethibitisha kutokea mlipuko nje ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hamid Karzai.