Wizara ya Afya DRC yaanza rasmi zoezi la chanjo ya COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Wizara ya Afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeanza rasmi kuwapatia chanjo wananchi wa jimbo la Kivu Kaskazini.