Wimbi la tano la janga la Corona na Omicron lapamba kasi

Your browser doesn’t support HTML5

Wimbi la tano la janga la Corona na aina mpya ya virusi vya Omicron vimeendelea kusambaa kote ulimwenguni.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari