Wimbi jipya la COVID latishia kujitokeza barani Ulaya, wataalam wa afya ya umma waonya

Your browser doesn’t support HTML5

Wimbi jipya la COVID-19 linaonekana kufukuta huko Ulaya wakati hali ya baridi ikianza, huku wataalam wa afya ya umma wakitahadharisha kwamba kulegalega utoaji wa chanjo na mkakanganyiko juu ya aina ya chanjo zinazopatikana huenda ikachangia kuzorotesha watu kupiga chanjo ya ziada yaani booster.