WHO yatahadharisha kuongezeka kwa kasi ya COVID-19 Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha athari za maambukizi ya virusi vya corona katika bara la Afrika ikiwa ni la mwisho kuathiriwa vibaya duniani.