WHO yasema watu takriban asilimia 50 hawapati huduma za matibabu wanazozihitaji

Your browser doesn’t support HTML5

Utafiti unaonyesha watu takriban asilimia 50 duniani hawapati huduma za matibabu wanazozihitaji, wakati huo huo watu milioni 100 wanaingia katika umaskini kutokana na gharama za matibabu. Ungana na Mwandishi wetu akikuletea kwa undani kuhusu matatizo haya...