WHO yasema maambukizi ya COVID-19 Afrika bado yako juu

Your browser doesn’t support HTML5

Mkurugenzi wa Kikanda wa Shirika la Afya Duniani, WHO, kwa ajili ya Afrika asema wimbi la tatu la janga la Corona limeanza kupunguza kasi ingawa idadi ya walioambukizwa bado iko juu.