WHO yaonya lengo la asilimia 10 la chanjo Afrika halitafikiwa

Your browser doesn’t support HTML5

Ofisi ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa ajili ya Afrika imeonya Alhamisi mataifa 42 kati ya 52 ya Afrika hayataweza kufikia shabaha ya chini iliyowekwa kutoa chanjo dhidi ya COVID-19 angalau kwa asilimia 10.