WHO yaanza kukabiliana na mlipuko wa Ebola Afrika Magharibi

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Afya Duniani (WHO) lineeleza wasiwasi wake kutokana na kuibuka tena kwa ugonjwa wa Ebola Afrika Magharibi na kuanzisha mara moja Juhudi za kukabiliana na ugonjwa huo.