White House : Mratibu aeleza changamoto za kuwachanja vijana

Your browser doesn’t support HTML5

Ikulu ya Marekani yaeleza changamoto ya kuwachanja vijana wakisema vijana wengi nchini Marekani wanahisi COVID-19 siyo kitu kinachoweza kuwaathiri.