WFP yatahadharisha upungufu wa chakula Afrika Mashariki

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Chakula Duniani (WFP) latahadharisha juu ya upungufu wa chakula na lishe bora kwa watu wanaotegemea msaada wake Afrika Mashariki.