WFP latahadharisha janga Ła njaa Madagascar

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) laonya kujitokeza kwa janga la kibinadamu Kusini dwa Madagascar kutokana na miaka 3 ya ukame na kuporomoka kwa uchumi kutokana na COVID-19.