WFP inasema watu milioni 5.2 Tigray wanahitaji msaada wa Chakula

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) linasema watu milioni 5.2 zaidi ya asilimia 90 ya wakazi wa mkoa wa Kaskazini ya Ethiopia wa Tigray wanahitaji msaada wa dharura wa Chakula.