Waziri Nadia atambuliwa kwa mchango wake 2021 Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Waziri msaidizi katika Wizara ya Habari, Mawasiliano, Teknolojia na Vijana nchini Kenya Nadia Abdallah apigiwa mfano kama chachu ya maendeleo kwa vijana kipindi cha 2021.