Waziri Mkuu wa Uingereza amfuta kazi waziri wake wa fedha

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri Mkuu wa Uingereza anakabiliwa na wakati mgumu kutokana na kudorora kwa uchumi, na amemfuta kazi waziri wa fedha baada ya kutumikia nafasi hiyo kwa muda wa siku 37.

Waziri Mkuu Liz Truss atangaza mabadiliko makubwa katika mpango wa serikali wa kufufua uchumi wa Uingereza

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari