Uingereza: Waziri Mkuu Truss ajiuzulu baada ya kutumikia wadhifa huo kwa siku 45

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri Mkuu wa Uingereza Liz Truss amejiuzulu Alhamisi na kuingia katika historia ya kuwa Waziri Mkuu aliyetumikia nafasi hiyo kwa muda mfupi wa siku 45.

- Maandamano makubwa yanaendelea nchini Chad kupinga utawala wa kijeshi.