Waziri Mkuu Somalia aahidi viti vingi kwa wanawake bungeni

Your browser doesn’t support HTML5

Kuelekea Uchaguzi mkuu Somalia mwezi Februari Waziri Mkuu aahidi kuhakikisha theluthi moja ya viti vya bunge vinatengwa kwa wanawake.