Waziri Blinken akutana na Rais wa Afghanistan

Your browser doesn’t support HTML5

Blinken pia alifanya mazungumzo na mkuu wa Utawala wa Afghanistan Abdullah Abdullah kwa lengo la kuonyesha uungwaji mkono wa Marekani, siku moja baada ya Rais Biden kutangaza kwamba anawaondoa wanajeshi wote wa Marekani nchini humo baada ya miaka 20 ya vita.