Waziri Blinken aendelea na juhudi za kuimarisha amani

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amekutana na Rais wa Misri Abdel Fattah el-Sisi katika juhudi za kuimarisha suluhu kati ya Israeli na Palestina.