Waziri atoa katazo la maandamano yaliyo andaliwa Lagos

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Habari na Mawasiliano Nigeria ameonya wananchi walioandaa kuandamana katika kituo cha kulipisha magari ushuru kilichoko katika barabara kuu mjini Lagos.