Matukio ya Dunia Waziri anusurika kifo Madagascar 22 Desemba, 2021 Your browser doesn’t support HTML5 Waziri katika serikali ya Madagascar amenusurika kifo kwa kuogelea kwa saa 12 baada ya helikopta aliyokuwa anasafiria kupata ajali.