Wawindaji Burkina Faso waomba serikali iwape silaha nzito

Your browser doesn’t support HTML5

Wawindaji Burkina Faso wakabiliwa na tishio la ugaidi na hivyo wanaiomba serikali kuwasaidia silaha nzito ili waimarishe ulinzi katika maeneo yao.