Wanaume wawili wakutikana na hatia shambulizi la West Gate Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Mahakama nchini Kenya imewakuta na hatia wanaume wawili waliohusika na shambulizi la kigaidi katika maduka ya kifahari ya West Gate, Nairobi, mwaka 2013