Waumini wahamasishwa kuto kula nyama ili kuhifadhi mazingira

Your browser doesn’t support HTML5

Watafiti wanaeleza kuwa iwapo dunia nzima itashirikishwa katiak utamaduni wa kutokula nyama kila ijumaa, hatua hio itasaidia mamillioni ya gesi ya hewa chafu kupungua kila mwaka.