Waumini wa Kikristo wajitokeza Jerusalem kuadhimisha ibada ya Ijumaa Kuu

Your browser doesn’t support HTML5

Waumini wa dini ya Kikristo wamejitokeza mjini Jerusalem kuadhimisha ibada ya Ijumaa Kuu na kujiandaa na Pasaka wakati ambapo masharti ya COVID-19 yamelegezwa na Wakristo kutoka nchi mbalimbali walipita katika barabara inayoaminika kuwa Yesu alipita akiwa amebeba msalaba.