Wauguzi bado hawana vifaa vya kujikinga na corona Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Wauguzi Tanzania bado wanakabiliwa na changamoto ya vitendea kazi katika wakati huu wa maambukizi ya virusi vya corona.