Watu wanane waliofariki katika tamasha la muziki Texas watajwa

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa serikali walitoa majina ya watu wanane waliofariki katika tamasha la muziki Houston, Texas, huku wachunguzi wakitazama video za tamasha hilo na kuendelea kuwahoji mashahidi.