Watu takriban 13 wauawa katika milipuko miwili Aden
Your browser doesn’t support HTML5
Milipuko miwili iliutikisa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Aden, kusini mwa Yemen, Jumatano muda mfupi tu baada ya kuwasili ndege iliyokuwa ina wasafirisha wajumbe wa serikali mpya ya umoja wa kitaifa