Watu saba wauawa na nyumba kuchomwa moto kijiji cha Nzega DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Watu kadhaa wameuawa, wengine kutekwa na nyumba kuchomwa moto Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Waangalizi wa uchaguzi Jamhuri ya Afrika ya Kati wanasema uchaguzi huo utasaidia kuimarisha demokrasia nchini humo

Matokeo ya awali katika Uchaguzi Mkuu wa Niger yanaonyesha mgombea wa chama tawala anaongoza, upinzani wadai kuwepo udanganyifu.