Watu kadhaa wauawa katika mashambulizi ya bunduki California

Your browser doesn’t support HTML5

Watu kadhaa wameuawa katika mashambulizi la bunduki yaliyotekelezwa na watu wazee katika jimbo la California nchini Marekani

Siku mbili baada ya mtu aliyekuwa amejihami kwa bunduki kuua watu 11 katika ukumbi wa burudani katika mji wa Los Angeles watu wengine saba wamepigwa risasi na kuuawa...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.