Watu 50 wauawa kwa kupigwa risasi Guinea

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International laripoti waandamanaji 50 wameuawa nchini Guinea wengi wao wakati wakipinga Rais Alpha Condé kugombea muhula wa tatu.