Watu 20 wauawa na wanamgambo mashariki mwa DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Watu 20 wauawa katika shambulizi la usiku katika kijiji kilicho kaskazini mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).