Watu 15 wafariki katika ajali ya mabasi Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Mkuu wa utawala wa kaunti ya Kilifi Kutswa Olaka anasema ajali hiyo ilitokea baada ya tairi la basi moja kupasuka na kusababisha kugongana na basi dogo likitokea Malindi kuelekea Mombasa.