Watoto wa mitaani Nairobi wapata mwokozi
Your browser doesn’t support HTML5
Watoto wa mitaani wapata misaada kujikwamua kimaisha kupitia usimamizi wa Torez Omoll ambaye yeye mwenyewe alipitia maisha ya mitaani na hivi leo anakusanya mısrada kuwasaidia watoto hao.