Watoto hatarini Yemen kutokana na kupunguzwa misaada

Your browser doesn’t support HTML5

Watoto nchini Yemen wanakabiliwa na utapiamlo kutokana na vita na kupunguzwa kwa progamu za misaada ya lishe na matibabu.