Watetezi wa haki za watoto wataka adhbu kwa watu wanao wanyanyasa Watoto

Your browser doesn’t support HTML5

Watetezi wa haki za Watoto nchini Tanzania wanataka sheria zilizopo kuimarishwa zaidi na adhbu kati kutolewa kwa watu wanaowanyanyasa Watoto. Isitoshe, wanataka Watoto kupewa malezi bora, wakati ripoti za matukio ya unyanyasaji wa Watoto zikiongezeka nchini Humo.