Watanzania waomboleza kifo cha Maalim Seif Sharif

Your browser doesn’t support HTML5

Watanzania waomboleza kifo cha aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad jijini alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua COVID-19.