Mtaalam wasema National Air Travel Agency ni chachu ya Mabadiliko

Your browser doesn’t support HTML5

Kampuni ya National Air Travel Agency yenye uzoefu wa kutoa huduma katika viwanja vikubwa vya ndege watarajiwa kuwa chachu ya mabadiliko katika kutoa huduma ya ndege katika Ukanda wa Afrika Mashariki.