Wataalam waeleza hofu yoa juu ya kutoweka kwa mbegu asilia na utamaduni wa chakula

Your browser doesn’t support HTML5

Maonyesha haya ya kitaifa na mavuno ya mbegu asilia na utamaduni wa chakula unaonyesha utamaduni tajiri wa aina mbalimbali wa mbegu na chakula.

- Wataalam wanasema Utamaduni huu unaoelezea urithi wa rasilmali, hazina ya maarifa ya jadi na ubunifu unaofikia kizazi cha sasa na kijacho uko hatarini. Mwandishi wetu Nairobi anaeleza sababu zilizopelekea kuwepo hofu hii...